Goodboy

Advocating For Change

Sheria Za Watoto October 4, 2008

Filed under: Uncategorized — petermwatha @ 10:28 am
Tags: , ,

Siku moja nilikua nikitembea mtaani mimi na marafiki zangu, kama tuko kwa njia. Tukaaza kutawanyika niliuliza rafiki yangu.

Yule tulikua tumebaki nayeye, nilimuliza kwa nini wale weigine wako wapi? akanijibu wameenda kununua gam yakuvuta niliwafuata nikathibitisha nikweli vile alivyo niambia.

Ni kweli nilipo wapata niliwapati mawaitha. Wengine walibadilika.Nikitaka kuelezea kuhusu watu wale wanatumia wengine kuwauzia madawa za kulevwa.

Pia kuna watu weigine ambao wanatumia watoto wa wenyewe kutafuta pesa nao kama huyu mtu mmoja ambaye ni na mjua mtaani kwetu hawa watoto, ambao wana kaa mtaani Wanakaa hapo hawapewi chakula, wakiletewa nguo za kuvaa ana wambia hakuna vitu vimeletwa akiona wewe unafuatilia maneno anakufukuza.

Nigependa wasimamizi wa watoto wakaweza kumchukulia huyu mtu hatua kali.

Translation

Children’s Rights

One day I was walking on the street with my friends. Along the way, we began going our separate ways. I asked my friend, the one I was left with, “where are they?” He answered that they had gone to buy glue to sniff. I followed them to make sure what he told me was true.

It was true. When I found them, I gave them advice. Some of them changed after hearing my advice. I want to tell those people who use the others to sell drugs.

There are other people who use children to search for money. There is one person I know in our area who uses children in our area to buy drugs. The children stay there and they are not given food. If they are meant to be provided with clothes, the person tells the children that none had been brought. If he sees you not following his orders, he sends you away.

I would like to tell those who stand up for children’s rights to take action against this person.