Goodboy

Advocating For Change

July 3, 2008

Kwa majina naitwa Peter Mwatha. Nina miaka 20. Nilizaliwa mwaka 1989. Ninaishi mtaa wa Kayole, karibu na Saba Saba. Nilianza kuishi kwa mtaa nikiwa miaka kumi. Sababu ya kuishi kwa mtaa ni mama yangu aliaga dunia kwa hivyo nikaona sina maisha tena.

I am the one wearing the hat

I am the one wearing the hat

Nilikua nikitumia madawa ya kulevya kama ‘gum’,sigara, pombe na zingine nyingi.Siku moja nilikua nimekaa kwa takataka nikikula chakula kichafu na kuvuta ‘gum’. Niliona ya kwamba dunia inazunguka na nikakimbia na kuuliza rafiki yangu “Mimi ninaona vibaya ama ni ulevi unanisumbua?” Aliniambia hizo ni madawa za kulevya zinakupeleka vibaya. Nilikaa chini na nikafikiria,nikaona hizo madawa za kulevya sitazitumia tena.Tangu siku hio maisha yangu imebadilika.

Translation

My name is Peter Mwatha and I am twenty years old. I was born in the year 1989. I live in Kayole near Saba Saba. I started living in the streets when I was ten years old. After the death of my mother, I lost hope in life and opted to move to the streets.

I used to take drugs such as cigarettes, glue and also alcohol. As I sat on garbage eating from the same, sniffing my glue, I began feeling dizzy. I got scared and asked my friend why I was feeling drowsy like a drunkard. He assured me that it was the effect of the drugs I was using. I searched for myself and decided that I was not going to use them again. Since then my life has changed for the better.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s