Goodboy

Advocating For Change

Taka zinazochafua mazingira December 7, 2009

Filed under: Uncategorized — petermwatha @ 10:13 am
Tags: , , , ,

Uongezekaji wa taka taka katika  mitaani na vijijini umefanya mitaro mingi zisiweze kuwa na maji safi.

Hali hii ya kudhoofisha imesababishwa na  watu ambao wanatupa taka taka ovyo ovyo bila ya kutojali  wanako zitupa na pia vile vinadhuru binadamu kiafya.

Takataka hizi huenda zikachangia pa kubwa katika kuambukiza watu magonjwa hatari kama vile maradhi ya kipindu pindu, malaria ambayo yanaweza kusababisha vifo vingi na pia kuleta gharama katika ununuzi wa madawa.

Ingekuwa jambo bora na la manufaa zaidi, ikiwa serikali  lingechukua  jukumu hili kwa kufanya usafi maalum katika maeneo yalioathiriwa zaidi, na pia kuweka  jengo zaidi  vya vyoo katika miji na maeneo za mitaa zisizo na vyoo.

Sio tu hoja kwa shirika hili kuyatekeleza hayo, bali sisi kama wananchi ni kazi kwetu kushirikiana nao, moja kwa moja kurahisisha kazi kwa kuvitumia vifaa hivyo kwa makini. Ili tuweze kuyazuia magonjwa na hata hasara kifedha.

Itakuwa kazi la sulubuzaidi, tusiposhirikiana kwa kina, kwani umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s